BRIEF ACTIVITY REPORT OF THE COMMUNITY MEDIA FEEDBACK WORKSHOP ON THE ASSESSMENT REPORT ON GENDER MAINSTREAMING
Community Radio Representatives at the workshop in Kilosa.
Gerald Malekela presenter and reporter from Nuru FM -Iringa narrated their experiences in gender implementation at the media house during the workshop in Kilosa.
Submitted by
The Gender and Media in Southern Africa, Tanzania
Network – August 2015
BRIEF ACTIVITY REPORT OF THE WORKSHOP ON MEDIA ENGAGEMENT
STRATEGY
1.
Background information of the activity
Activity Title:
|
Brief
activity report of the community media feedback workshop on the assessment
report on gender mainstreaming
|
|||
Location of
Activity:
|
Kilosa
|
|||
Activity Dates:
|
20th – 22nd August 2015
|
|||
Activity
Description:
|
The three-day workshop was intended to bring
together community radio managers/practitioners to be introduced to UNESCOs Gender Sensitive
Indicators , to discuss the report findings of the assessment on the existing
gender gaps in the community media especially radios and draw the way forward on how to bridge the
existing gaps.
|
|||
Target Group:
|
The targeted groups were community media
managers/practitioners from Kilosa FM, Kyela FM, Mtegani FM, Kitulo FM,
Fadhila FM, Dodoma FM, Nuru FM, Pambazuko, Daraja newspaper, Mtukwao, Boma
Hai Radio and Pangani FM.
|
|||
Objectives: (as per
project proposal)
|
|
|||
Participating
Officers:
|
Organization
|
Sex
|
Designation
|
|
F
|
M
|
|||
GEMSAT
|
3
|
1
|
Facilitators
|
|
2. Participants
Organization
|
Sex
|
Designation
|
|
F
|
M
|
||
Community media
managers/practitioners
|
4
|
9
|
from Kilosa FM, Kyela FM, Mtegani FM,
Kitulo FM, Fadhila FM, Dodoma FM, Nuru FM, Pambazuko, Daraja newspaper,
Mtukwao, Boma Hai Radio and Pangani FM
|
3.0 Issues emerged during the
workshop
|
4. Results of the activity
|
5. Challenges
|
6. Lessons learned
|
7. Reporting person
Name:
|
Gladness H. Munuo
|
Title:
|
Coordinator
|
Annex No. 1
Participants list for Community Media Workshop in Kilosa from 20th
August to 23rd August, 20015
No.
|
NAME
|
SEX
|
ORGANISATION/MEDIA HOUSE
|
POSITION
|
PHONE
|
E-MAIL
|
1
|
Zilpa joseph gappy
|
F
|
Triple a fm
|
Sub – Editor
|
0764713084
|
|
2
|
Gasper Jospeh
|
M
|
Boma Hai FM
|
Presenter
|
0766-536061
|
|
3
|
Aloycia Mhina
|
F
|
Kilosa FM
|
Presenter
|
0787 091531
|
|
4
|
Masoud Maulidi
|
M
|
Kyela FM
|
Presenter
|
0768 767179
|
|
5
|
Edwin Mpokasye
|
M
|
Radio Fadhila
|
Director
|
0756 923376
|
|
6
|
Ergon Elly
|
M
|
Kitulo FM
|
Presenter
|
0768 511 373
|
|
7
|
Lucas Godwin
|
M
|
Dodoma FM
|
Assistant Manager
|
0716057615
|
|
8
|
Gerald E. Malekela
|
M
|
Nuru FM
|
Presenter
|
0715 779233
|
|
9
|
Winifrida Mayao
|
F
|
Zenj FM
|
Radio Manager
|
0655 780 790
|
|
10
|
Martha james
|
F
|
Pangani FM
|
Presenter
|
0656899270
|
|
11
|
Shaaban Ali
|
M
|
Mtengani FM
|
Assistant Manager
|
0777 888084
|
|
12
|
Isidory mtunda
|
M
|
Pambazuko FM
|
Presenter
|
0782780325
|
|
13
|
Richard Shagungu
|
M
|
Kilosa FM
|
Manager
|
0787 411344
|
|
14
|
Cecilia Stephen
|
F
|
GEMSAT
|
Treasurer
|
0717864677
|
|
15
|
Gladness Hemed Munuo
|
F
|
GEMSAT
|
Coordinator
|
||
16
|
Dominica Haule
|
F
|
GEMSAT
|
CHAIRPERSON
|
||
17
|
Marko Gideon
|
M
|
GEMSAT
|
Secretary
|
0717422829
|
Annex No. 2 Resolutions
TAARIFA YA WARSHA WA UANDAAJI WA VIPINDI NA HABARI ZA JINSIA
KWA REDIO JAMII TAREHE 20 – 22, AGOSTI
2015
UTANGULIZI:
Warsha ya uandaaji wa vipindi na habari za kijinsia
iliyoandaliwa na taasisi isiyo ya
kiserikali inayoshughulika na maswala ya
kijinsia ,kusini mwa jangwa la sahara Tanzania GEMSAT yenye lengo la kupata
mrejesho wa makubaliano yaliyofanyika wakati wa kuaanda sera ya jisia na habari
ambayo yaliwashirikisha vyombo vya
habari vya kijamii.
Redio ambazo zimeshiriki katika warsha hii ni Kilosa FM,
Pambazuko Fm ifakara, Zenj FM Zanzibar, Nuru FM Iringa, Pangani FM , Kitulo FM
Makete, Boma Hai Kilimanjaro,Triple A Arusha,Mtegani FM Zanzibar, Kyela FM ,
Dodoma FM, Fadhila FM Masasi.
. Vyombo vya habari vyenyewe vimeonekana kutekeleza sera
ya jinsia na habari kwenye ajira na
ufanyaji wa vipindi.
2. Kwakiasi flani vyombo vya habari vinaripoti maswala ya
jinsia.
3. Baadhi ya redio zina
vipindi vya moja kwa moja vinavyohusu jinsia . mfano : wanwake kwanza
–pambazuko fm na harakati za wanawake
zenj fm.
Vipindi
vimeonyesha matokeo chanya kwa baadhi ya maeneo : kwa mifano halisi
kupitia kipindi cha ulimwengu wa wanawake Nuru FM wanawake wameweza kujitokeza
kuwania nafasi za uongozi ngazi ya udiwani na ubunge tofauti na miaka ya nyuma,
na kipindi cha ndoa na familia Boma Hai FM na kipindi cha Sauti ya mwanamke
Pangani FM wanawake wamekuwa wazi kueleza matatizo yao katika vyombo vya habari
tofauti na hapo awali.
5. Wanawake wamekuwa na mwamko wa kushiriki katika
vipindi na kuchangia mijadala mbalimbali katika vipindi.
CHANGAMOTO:
1. Bado uwiano wa jinsia
kwa kiasi flani hauridhishi.
Changamoto ya kifedha ambapo inapelekea :
•
Vipindi kutofanyika ipasavyo
•
Wafanyakazi kuondoka kutoka na malipo madogo.
•
Urasimu katika utoaji wa fedha kwaajili ya utekelezaji wa majuku punde
inapohitajika, ikiwemo uandaaji wavipindi na habari .
2. Baadhi ya wadau na viongozi kupuuza vyombo vya habari
vya kijamii.
3. Changamoto ya elimu kwa wanahabari juu ya uaandaji wa
vipindi vya jinsia.
4. Wamiliki Kuingilia majukumu ya kitaaluma. Mfano
mmiliki anaweza kutoa agizo la kutangazwa au kutotangazwa taarifa au kurusha
kipindi kwa maslahi yake kinyume na sera ya utangazaji na mamlaka ya
mawasiliano Tanzania TCRA.
MAAZIMIO
1. Vyombo vya
habari vinatakiwa kuzingitia uwiano wa jinsia kulingana na sera ya
jinsia na habari katika uajiri na uratibu wa vipindi.
2. Vyombo vya habari viachwe viwe huru ili viweze
kujiendesha.
Wamiliki wa vyombo vya habari waone umuhimu na kuweka
utaratibu wa kuwaendeleza wafanyakazi wao Kielimu.
3. Chombo cha habari kitengeneze mazingira mazuri ya
uhusiano na wadau wao.
Wamiliki waache vyombo viwe huru katika kutekeleza
majukumu yake.
4. Vyombo vya habari viongeze vipindi na habari za
zinazolenga usawa wa jinsia kwa
kuzingati sera ya jinsia na habari.
GEMSAT na wadau wengine wandelee kutoa mafunzo ya mara
kwa ya maswala ya jinsia ikiwezekana semina zefanyike katika maeneo ambayo
tatizo hili ni kubwa.
6. Urasimu uondoke katika utoaji wa fedha za kuandalia
vipi na utekelezaji wa majukumu yote ya chombo.
Redio ziwe na account zao
ili kuwe na urahisi wa upatikanaji wa fedha.
7. Vituo viweke utaratibu mzuri wa malipo kwa kwa
wafanyakazi wake ili wasiondoke na kuzorotesha vipindi.
Vituo viboreshe njia za kuongeza mapato kwa kutafuta
wafadhili ,matangazo .
8. Washiriki wapeleke mrejesho wa mafunzo haya kwa wenzao katika vituo vyao vya redio ili kuunganisha nguvu katika kutekeleza sera
ya jinsia na habari.
Redio ziwe na account zao
ili kuwe na urahisi wa upatikanaji wa fedha.
10. Vituo viweke utaratibu mzuri wa malipo kwa kwa
wafanyakazi wake ili wasiondoke na kuzorotesha vipindi.
11. Vituo viboreshe njia za kuongeza mapato kwa kutafuta
wafadhili ,matangazo .
12. Washiriki wapeleke mrejesho wa mafunzo haya kwa wenzao katika vituo vyao vya redio ili kuunganisha nguvu katika kutekeleza sera
ya jinsia na habari.
USHAURI
1. Iandaliwe semina
ya tathmini ya maazimio haya ,ikiwezekana kabla ya mwaka huu kuisha TUKIAMINI
KUWA TUNATAKA KUKIMBIA SIO KUTEMBEA.
2. GEMSAT waratibu na kufuatilia vipindi mbalimbali vya
habari na jinsia vinavyoandaliwa na redio za kijamii kwa kutengeneza mfumo
utakao waunganisha wote. Mfano kipindi cha redio moja kurusha redio nyingine na
kutoa motisha kwa muandaaji.
HITIMISHO
Iwapo vituo vya redio jamii vitafanikiwa kutekeleza maazimio
haya utekelezaji wa sera ya jinsia na habari kwa kiasi kikubwa itafikiwa na
kupunguza tatizo hili katika jamii.
No comments:
Post a Comment