Bibi Gladness Hemedi Munuo, Mratibu wa GEMSAT akitoa ufafanuzi wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake barani afrika, pamoja na uzinduzi wa kalenda ya siku 365 na robo dhidi ya harakati hizo, katika ukumbi wa TGNP tarehe 20/11/2008.
Wanachama wa GEMSAT wakimsikiliza Mkurugenzi msaidizi wa Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya jamii Jinsia na watoto (Hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa kalenda ya siku 365 na robo za kupinga ukatili dhidi ya wanawake barani Afrika, tarehe 20/11/2008.(Source: GEMSAT)
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne, Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.
Mheshimiwa Andrew Chenge, Mbunge wa Bariadi Magharibi akipokewa na umati wa watu wakiwemo ndugu zake mkoani Shinyanga, baada ya kitendo chake cha kishujaa kutangaza kujiuzulu baada ya kashfa mbaya ya kesi ya Radar kuibuka, mwaka 2008.
No comments:
Post a Comment